• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Afya

Seksheni ya Afya na Ustawi wa Jamii

Seksheni hii inajumuisha na hospitali ya Wilaya, lengo la seksheni hii ni kusaidia au kuwezesha utoaji wa huduma bora za Afya za kinga, matibabu na maendeleo ya huduma za Afya na Ustawi wa Jamii katika Wilaya. 



Idara ndogo ndogo ndani ya Afya

Elimu ya Afya

Huduma za Tiba (Magonjwa ya ndani, Watoto, wajawazito, Upasuaji na Mifupa, Huduma za mionzi, Maabara na Mortuary)

Huduma za Kinga (Huduma za Afya ya mama na mtoto na Huduma za kuzuia magonjwa ya kuambukiza)

Utengemao (Rehabilitation)

Ustawi wa Jamii

Afya ya Mazingira

Majukumu ya Seksheni ya Afya na Ustawi wa Jamii

Majukumu ya Idara/Seksheni

Majukumu ya seksheni/sehemu ya Afya na Ustawi wa Jamii:

Kuratibu na kushauri juu ya utekelezaji wa wa sera za Afya katika wilaya

Kuratibu masuala ya Afya na Ustawi wa Jamii katika wilaya

Kusimamia utoaji sahihi wa huduma za Afya zinazotolewa na hospitali/vituo vya Umma na sekta binafsi katika wilaya

Kuzijengea uwezo Mamlaka za Serikali za Mitaa katika utoaji wa huduma za Afya

Kutoa ushauri wa kitaalamu katika uandaaji wa mipango ya upambanaji/uzuiaji wa tatizo la Virusi/UKIMWI (HIV/AIDS)

kutoa ushauri wa kitaalamu juu ya uendeshaji wa shughuli zinazohusiana na masuala ya Virusi/UKIMWI (HIV/AIDS) katika wilaya

Kutoa huduma za Afya/msaada unaohitajika wakati wa milipuko ya magonjwa katika wilaya

Kutoa huduma za kliniki na matibabu kwa wagonjwa wa ndani na nje wanaoletwa kutoka vituo vya Afya/hospitali za mamlaka za serikali za mitaa

Kutoa huduma za kitaalamu (utaalamu wa kubobea) za matibabu

Kutoa/Kusaidia huduma za kitaalamu na msaada unaohitajika kwa vituo vya Afya na Hospitali za Mamlaka za Serikali za Mitaa wakati wa milipuko ya magonjwa yakuambukiza

Kutoa huduma za rufaa za maabara na vipimo

Kuratibu upatikanaji wa madawa/vifaa tiba kwa ajili ya hospitali



MCHANGANUO VITUO VYOTE.xls

Matangazo

  • KUHAMA KWA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU October 30, 2019
  • TANGAZO LA KUWAREJESHA WAGOMBEA WASIO NA MAKOSA YA KIKANUNI KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2019 November 11, 2019
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI November 14, 2019
  • TANGAZO TANGAZO LA KUPANGISHA VIBANDA VYA BIASHARA January 21, 2019
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • Jafo asema Uchaguzi Serikali za Mitaa uko pale pale, Novemba 24, 2019

    November 09, 2019
  • DONGOBESH YAFANYA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA

    November 08, 2019
  • Jafo apongeza Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu kwa usimamizi makini wa ujenzi wa Jengo la Utawala na Hospitali ya Wilaya

    September 12, 2019
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YATANGAZWA RASMI LEO

    July 11, 2019
  • Tazama zote

Picha Jongefu

Kampuni ya Ujenzi ya Mzinga wapongezwa kwa kuendana na Kasi
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255746111000

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.