• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

TANGAZO LA ZABUNI YA UWAKALA WA UKUSANYAJI USHURU WA MAZAO KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023

Posted on: May 23rd, 2022

Kwa: WAZABUNI

Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu inapenda kualika zabuni kutoka kwa watu Binafsi, Makampuni, Ushirika, Taasisi au Vikundi vya watu vilivyosajiliwa kisheria wenye nia, uwezo na uzoefu wa Ukusanyaji wa Ushuru wa Mazao ya Kilimo kutuma maombi yao kwa Zabuni hii.

1.Unaalikwa kuwasilisha Zabuni yako kwa ajili ya kukusanya Mapato ya Ushuru wa mzazao ya KIlimo kama ilivyoainishwa kwenye Nyaraka za Zabuni.

2.Kotesheni inapatikana Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu iliyopo Dongobesh, Barabara ya Dongobesh – Mbulu Mkabala na Njiapanda ya kwenda Haydom

3.Ada ya zabuni ni shilingi za kitanzania 200,000 (mia mbili elfu tu). Fedha hizi hazitarudishwa.

4.Zabuni zote zikiwa zimejazwa kikamilifu ziwasilishwe kwa MKURUGENZI MTENDAJI, HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU, S.L.P 74, DONGOBESH-MBULU kabla ya SAA 4:00 asubuhi tarehe 30 Mei 2022. Ufunguzi wa 5.Zabuni hizo utafanyika kupitia katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mara baada ya muda wa mwisho wa kuwasilishwa Zabuni.  

6.Zabuni au sehemu za Zabuni ambazo zitawasilishwa kwa kuchelewa au zilizowasilishwa katika muundo usiokubalika hazitakubaliwa wala kuzingatiwa kwa ajili ya tathmini, bila kujali mazingira yoyote.


]IMETOLEWA NA  

 

Abubakar A. Kuuli

MKURUGENZI MTENDAJI

HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU December 01, 2022
  • RATIBA YA MSAADA WA KISHERIA YA KAMPENI YA MAMA SAMIA MBULU DC May 26, 2023
  • TANGAZO LA HUDUMA YA UWAKALA WA UKUSANYAJI WA ADA YA TAKA NGUMU NA UZOAJI TAKA KATIKA MIJI MIDOGO YA HAYDOM, MAGHANG NA DONGOBESH June 01, 2023
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • Wazazi wapatiwa Elimu ya lishe juu ya umuhimu wa kunyonyesha maziwa ya mama kwa watoto chini ya miezi 6

    June 01, 2023
  • WATAFITI SUA KUJA NA KAMPENI YA AFYA SHIRIKISHI KUTOKOMEZA MINYOO TEGU YA NGURUWE MBULU

    May 26, 2023
  • KARIBU MKUU WA MKOA MANYARA MHE. QUEEN SENDIGA

    May 26, 2023
  • KILA LA KHERI MHE. MAKONGORO NYERERE

    May 25, 2023
  • Tazama zote

Picha Jongefu

HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA WA BARABARA (HAYDOM - MBULU - KARATU - MASWA)
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.