• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mhe.Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezaria V. Makota Ashiriki katika Ukamilishaji wa Uwekaji wa Nguzo na namba za nyumba katika anwani za makazi kwenye Kata Mbalimbali Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu.

Kurushwa hewani: May 28th, 2022

Kulia ni Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezaria V. Makota na Kushoto ni Katibu Tawala Wilaya ya Mbulu S.Sanga

Dereva Hanbeti Akiwa Katika Zoezi la Anwani za Makazi Katika Kusambaza Miti Kupeleka Sehemu Mbalimbali ya Kata Kwenye Upungufu wa Vifaa Hivyo.



Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Abubakar A. Kuuli Aonyesha Mfano kwa Vitendo Katika Zoezi la Anwani za Makazi Katika Halmashauri yake

Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Dongobesh Akisimamia Kazi Yake Usiku Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Abubakar A. Kuuli Usiku Kucha Akiwa na Watendaji Katika Kuhakikisha Nguzo Zinapatikana kwa Wakati.



Haya yamejiri tarehe 28.05.2022 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ambapo Maafisa Watendaji wa Kata na Vijiji, Wenyeviti wa Vitongoji na Vijiji, Madiwani na Wakuu wa Idara/Vitengo kwa nguvu moja wanaendelea na zoezi hili kuhakikisha hakuna kulala hadi kazi ikamilike kama ilivyoagizwa na Mhe.Rais S.S.Hassan .

Kimsingi hadi leo mchana 70% ya kata zote zoezi lilikuwa ni jukumu moja tu japo kwa hatua mbalimbali za ukamilishaji ambapo ubebaji, kuchana mbao, kutengeneza nguzo, kuchimba na kusimika nguzo za barabara vinafanyika ili Jumapili asilimia ilobaki itimie.

Mhe. Mkuu wa Wilaya huyo aliongozana pia na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Abubakar A. Kuuli, Baadhi ya maeneo aliyotembelea ni pamoja na Dongobesh Chini, Dongobesh, Qaloda, Masqaroda, Bashay, Yamai na mengine mengi, ambapo katika Kijiji cha Dongobesh.
Hata hivyo

Mhe. Mkuu wa Wilaya huyo aliongozana pia na Mkurugenzi Mtendaji (W) ndugu A. A.Kuuli alishiriki katika zoezi la kuandika maandishi mbalimbali katika vibao vya nguzo za barabara za Dongobesh. Haikuishia hapo tu kwani ukaguzi uliendelea hadi usiku huu ambapo Maafisa wetu wa Kata na Vijiji wanapiga kazi nzuri usiku na mchana ili kuhakikisha kazi inakamilika kama ilivyopangwa na tutafanikiwa.

Akiwa katika zoezi la ukaguzi wa zoezi la anwani za makazi ambalo amekuta liko katika hatua mbalimbali kwa Kata tofauti, Mkurugenzi huyo ametoa magari kadhaa kwa ajili ya kurahisisha kubebea miti ambayo ilikuwa inapatikana katika jengo la Halmashauri na kupelekwa kwenye maeneo yote yaliyokuwa yamepelea miti kiasi kwamba hali imekuwa shwari na jumapili ya tarehe 29.05.2022 itakuwa ni kazi nyepesi ya kukamilisha maeneo machache yaliyosalia.

Wito wa Mhe. Mkuu wa Wilaya S.V.Makota amesema "Maafisa wote wanaohusika na kazi ya anwani kuanzia makao makuu ya Wilaya, Timu ya Napa ya Wilaya, Maafisa Watendaji wa Kata na Vijiji, Wenyeviti na wananchi kwa ujumla wao  wajitume katika kazi hii kwa faida yao wenyewe.










Matangazo

  • TANGAZO KWA WANANCHI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU TAREHE 18.06.2022 June 16, 2022
  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA WATUMISHI AJIRA MPYA KADA YA AFYA NA ELIMU July 01, 2022
  • HERI YA SIKU KUU YA NANENANE KWA WANANCHI WOTE NA MATUKIO YA NANENANE 08.08.2022 August 08, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA SENSA July 18, 2022
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • Maonyesho ya Kanda ya Kaskazini ya Nanenane Arusha Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Leo 08.08.2022

    August 08, 2022
  • Maonyesho ya Kanda ya Kaskazini ya Nanenane Arusha Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

    August 04, 2022
  • Mafunzo Maalumu ya Timu ya Uchanjaji Chanjo ya Uviko 19 Yawa Chachu Katika Kuongeza Kasi ya Uchanjaji Katika Kikao Kazi Tarehe 30.07.2022

    July 31, 2022
  • KNY: Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mgeni Rasmi Ndg. Abubakar A. Kuuli (Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu) Awapa Wahitimu Mbinu Mbadala Namna ya Kujiajiri Katika Mahafali Taasisi ya Mafunzo ya Afya Haydom - Mbulu Tarehe 22.07.2022

    July 23, 2022
  • Tazama zote

Picha Jongefu

Burudani yaTwist yanogesha sherehe ya Wanawake Dongobesh
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.