Kurushwa hewani: November 4th, 2024
Na Ruth Kyelula, Mbulu DC
Kaimu Meneja wa Birth Hope Center, Mariam Fanuel amewataka wasichana wa shule ya msingi Dongobesh Viziwi kuwa wasikate tamaa na wajione kama wanawake wengine na wanathaman...
Kurushwa hewani: October 30th, 2024
Na, Ruth Kyelula, Mbulu - DC
Mkuu wa wilaya ya Mbulu, Veronica Kessy amewataka Madiwani kusimamia mipango mizuri inayopangwa na Halmashauri pamoja na kuwapongeza kwa kuendelea kuongoza katika ukusa...
Kurushwa hewani: October 24th, 2024
Na, Ruth Kyelula.
Afisa Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Lutengano Emmanuel amesema kuwa kwa kipindi cha mwezi July mpaka September watoto wenye utapiamlo mkali waliolazwa walikuwa kumi na w...