Kurushwa hewani: August 23rd, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Komredi Kheri James ameongoza msafara wa kukagua mradi wa kuvuna ukungu na maji uliopo mkoani Manyara Wilaya ya Mbulu.
Ziara hiyo ilifanyika Leo Agost 23,2023 ikiongozwa...
Kurushwa hewani: August 18th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Manyara,Bi. Queen Sendiga ameweka jiwe la msingi katika Shule ya Msingi Flatei Massay iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, kata ya Haydom.
...