Kurushwa hewani: August 18th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Manyara,Bi. Queen Sendiga ameweka jiwe la msingi katika Shule ya Msingi Flatei Massay iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, kata ya Haydom.
...
Kurushwa hewani: August 12th, 2023
Ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi kamati ya Siasa Wilaya ya Mbulu ikiongozwa na Komredi Malkiadi Jacob Nali imefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na...