Kurushwa hewani: May 15th, 2018
Mashindano yanayoendelea kwa kujumuisha timu 10 kwa michezo ya raundi ya kwanza yameendelea kupamba kasi katika mji wa haydom huku timu inayofungwa inafungasha virago na kupisha mashindano hayo.
...
Kurushwa hewani: May 2nd, 2018
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ndug Hudson Kamoga ameongoza mamia ya watumishi walioojitokeza kuuadhimsha sherehe za Mei Mosi Wilayani mbulu zilizofanyika katika uwanja wa shule...
Kurushwa hewani: April 25th, 2018
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya Mbulu limeipongeza serikali kwa kusimamia maamuzi ya ujenzi wa Makao Makuu kuwa Dongobesh kutokana na mapendekezo ya baraza na hata baada ya ziara ya Mhe. M...