Mkuu wa Wilaya ametoa offer hiyo kwa wananchi wa Dongobesh ili kuwaruhusu watoto wao wakajiunge coz mbalimbali
Mkurugenzi Mtendaji ameyasema hayo katika viwanja vya ofisi ya kata Dongobesh wakati wa maadhimisho ya Sherehe za wanawake tarehe 8/03/2020
Huu ndio muonekana wa sasa wa Ujenzi unaondelea wa Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu katika mji wa Dongobesh
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.